Baada ya life goes on https://www.youtube.com/watch?v=_szJjwDmkUk iliyokua na Kala Jeremiah,Mo Plus,Chibo,Ordinally,Ibra Da Hustler,Chaba,Jordan,TDX na G nako ambayo ilionekana moja kati ya collabo bora kabisa za hiphop nchini, project ya kubwa kuliko inaendelea mwezi ujao kwa ngoma itakayojulikana kama “Tunaleta Kwere” ndani kukiwa na Coutryboy, P The MC, Viva Conscious, Tash Bablenye, Leo Mysterio, Fidodido na Bigway, nipo mbioni pia kukamilisha wimbo wa Beeman akiwa na Jordan,J Deal,Dullayo,Wyre,Steve RnB na Banana Zorro ila nitatoa taarifa zaidi soon,nimeona mwaka huu nifanye mambo tofauti kidogo,nawashukuru wote wanaosupport muziki mzuri,yote yanayokuja ni kwaajili yao – John B (John Blass)
SOURCE BY www.djchokamusic.com
Coming soon John B presents “Tunaleta Kwere” – Country Boy, P The MC, Viva Conscious, Tash Bablenye, Leo Mysterio, Fidodido & Bigway
ComingSoon
,
News
,
newTracks
Edit
0 comments:
Post a Comment