Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wanaweza kuinunua ”360 EP Album” yangu katika vituo vifuatavyo jijini Dar es Salaam na kwa kiasi cha T.SH 5,000 tuu. SamakiSamaki Mlimani city & Posta, Century Cinemax (Movie theater)-Mlimani City, Aziz Barber Shop zamani Prof Jizzle barbershop-Msasani mwisho, Shebby barber shop-Lufungira Sinza, Billionnaires barber shop-Mikocheni kwa Nyerere, Lily’s boutique-Mwenge, Ofisi za Bongo5-Msasani, Pia wanaweza kunicheki kwa no yangu 0756169978 kuinunua kutoka kwangu. Asanteni sana kwa sapoti-JANB
Album: 360 EP ALBUM
Artist: JanB
Genre: Swahili Pop & House
Contacts: 0756169978, Instagram@janbizo
SOURCE: www.djchokamusic.com
0 comments:
Post a Comment