Huu ni wimbo mpya kabisa “HAUJACHELEWA” kutoka kwa Inspector Haroun aka BABU kwa mwaka huu 2014 ameutengeneza kwa Prod Mbezi ambaye studio yake inapatikana kule pande za Tabata jijini Dar. Hebu sikiliza halafu nipe maoni yako kama Babu amerudi vizuri au ajiandae tena. Source : www.djchokamusic.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment