(NEWS) MABESTE aandika barua ya wazi kwa uwongozi wa BHITZ isome hapa


Kutoka katika account yake ya Facebook mtu mzima MABESTE amepost kitu kama ujumbe maalumu kwenda kwa Prod Pancho pamoja na uwongozi wa Bhitz Music Group. Naunukuu kama ulivyo
“Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika Track yake aliyoifanya Am Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix)… sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakat niko Bhits!! Je mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits? Na kama issue ni Copy n Paste au kuishiwa na idea,mbona beat iliyotumika kwenye Track yangu ya “SIRUDI TENA” Pancho amei Copy kwenye Track ya (cheap monkey ft chriss brown – champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???
#MabesteArmy!

CREDITS : www.djchokamusi.com

Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment