#NEWS : Mr.BLUE NA SHAA COLLABO YAO YANUKIA


10731514_280227272165997_454644360_n
Mr Blue anatarajia kumshirikisha Malkia wa Uswazi, Shaa kwenye ngoma mpya. Wimbo utatayarishwa na Master Jay.
“Unajua nilikuwa sijatulia ila sasa hivi nimetulia kwahiyo mashabiki wangu najua niliwaahidi video, ipo tayari kwahiyo wiki hii inatoka,” ameiambia Bongo5.
“Unajua siku ya Fiesta tulivyokuwa backstage niliongea na Master Jay nikamuomba nifanye naye kazi si unajua Master ye sasa hivi hafanyi kazi, ila nilivyomuomba akaniambia ‘sawa tutafanya’. Wakati naongea naye Shaa naye akaja, nikaongea pia na Shaa akakubali pia. Kwahiyo hiyo ngoma nitafanya na Shaa maana si unajua sijawahi kufanya kazi na Shaa.”
Hivi karibuni Shaa alipost picha kwenye Instagram akiwa backstage na Blue na kuandika:
Kama ka collabo kanahusika hapa… @mrbluebyser1988 #Fiesta2014 #SerengetiFiesta 
NEWS CREDIT : BONGO5
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment