#NEWS : ALICHOKISEMA ROMA KUHUSU WASANII NA KIFO CHA GEEZ MABOVU

Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania Roma Mkatoliki amefunguka ya moyoni katika account yake ya Facebook kuhusu wasanii na Stress wanazopata katika tasnia ya muziki wa Bongo pia na kuzungumzia kifo cha mwanamuziki mwenzake wa Hip Hop Geez Mabovu 

‪#‎Lawama‬ zinakuwa nyingi sana naona!!! Na wengi mnazipeleka eneo moja tu!!
Askwambie mtu hakuna watu wenye ‪#‎Stress‬ kama sisi ‪#‎wasanii‬ aaaf mbaya zaidi sisi wengi wetu hatuwezi kuishinda hiyo ‪#‎Challenge‬ finally tunafail!!
Kuna kipindi msanii unakuwa ‪#‎Juu‬ sana na hiyo inatokana na juhudi zako na support unayopewa na wadau wa mziki (media sanasana) na mashabiki!!‪#‎HALAFU‬ GHAFLA FROM NOWHERE ULE UJUU UNAANZA KUPUNGUA KISHA UNAISHA KABISA!! AU KUNA WAKATI HUO UJUU HAUISHI TARATIBU UNAISHA GHAFLA TU VUUUP!! #STRESS INAANZA!!

SWALI NI KWANINI HUO UJUU UNAISHA GHAFLA!!?
Je uwezo wako unaisha?
Unaridhika mafanikio?
Unaikosa ile support ya awali toka kwa wadau?
Je unashushwa kwa nguvu za watu fulani?
Kuna wengine sasa wasanii wanakuwa hawajawahi kuwa #JUU Lakini wanafight kufika juu na wanajituma hasa na ‪#‎NI_WAKALI‬ sana lakini zinatokea tu ‪#‎FIGISUFIGISU‬ msanii anakuwa hatoboi!! Finally anaamini anabaniwa na hapewi support. ..#STRESS INAANZA!!
Wasanii kama ‪#‎GEEZMABOV‬ tunao wengi sana hapa ‪#‎TANZANIA‬ lakini hatujifunzi kwa mifano!! 

kuna vipaji havipaswi kupuuziwa hata kidogo jamani vipeni support a hundred please!! Hatatokea msanii kama ‪#‎AfandeSelle‬ mi nakwambia hadi leo ni mkali sana huyu mtu!! Hakuna ‪#‎Rapper‬ kama ‪#‎JosMtambo‬ askwambie mtu!! Yule ‪#‎Enika‬ yule ni anaimba jamani acha tu!! Hawa vijana wa ‪#‎TamaduniMusic‬ ni new ‪#‎faces‬ zinazokuja vizuri sana wapewe ‪#‎support‬!! ‪#‎Joslin‬ #MBDog# hawa watu ni ‪#‎Almasi‬ jamani!! Tunawasanii wakali kibao mi nakwambia ‪#‎DojoNaKaya‬ ni ‪#‎nyoko‬!! Wataimba wote ila mtu kama ‪#‎RamaDee‬ ni hadithi nyingine ujue!!!
Na isiwepo hii hali ya kwamba

"ILI ATOBOE FLANI BASI LAZIMA FLANI APOTEE!! HII KAULI HAINA MASHIKO KIUKWELI!!! Kwanini apotee?? Si tuwe wote tu!!! Na msitetee kwa kusema HATA MAREKANI IKO IVO...kwani si wao!!
Ni lazima tuwaige kwani!!?

ILA UPANDE WA PILI SASA
Lakini wakati mwingine sisi wasanii tuna makosa kutokana na ‪#‎ATTITUDE‬ zetu...tutambue kuwa tunaofanya nao kazi ni ‪#‎WAFANYABIASHARA‬ na sio ndugu zetu wala hakuna sehemu iliyoandikwa NI LAZIMA WAKUSUPPORT!! Kila mtu ana matakwa yake kama mfanyabiashara kama mdau!! So ‪#‎JIONGEZE‬!!
Tuna ‪#‎Angle‬ moja tu sasa ya biashara ya muziki wetu nayo ni ‪#‎SHOW‬
Sasa kuna wasanii unapita #Mwaka hawajapata show na ni wakali sana...na mbaya zaidi bado hawapati #AIRTYM katika media houses!!#WANAUMIA SANA!!!!!

Kama hiyo haitoshi msanii ana miezi 6 hajapata show wala akiaandaa mwenyewe mashabiki hawamsupport anafail...kisha anaskia msanii mchanga tu ametoka juzi amepigiwa simu ya show #MILIONI3 Amekataa!!

Wakati yeye anaitafta hata show ya #LAKI3 tu hapati!! #STRESS INAANZA!!
Finally ukishindwa kui control stress basi uta end up into
NEGATIVE SIDE!!!
Wito wangu tafadhali tuwasapoti na tuzidi kuwasapoti vijana wetu wenye vipaji...najua wapo wenye matatizo lakini tusiikate tamaa tuzidi kuwaonyesha njia bora ya mafanikio...hii ni kwenu mashabiki na wadau wa muziki wetu huu pendwa wa BONGOFLAVA
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment