#NEWS : Linah kuendelea kupanda ngazi

Msanii wa muziki Linah, baada ya kazi yake kubwa ya Ole Themba kumpandisha ngazi kimuziki, amesema kuwa kazi itakayofuata kutoka kwake itakuwa ni kubwa zaidi na si lazima ifanyike nnje ya nchi tena. 

Linah amesema kuwa, akiwa sasa ameongezeka thamani na kuwa msanii wa kiamtaifa, atazingatia kufanya kazi zake katika bajeti inayojitosheleza akitumia hata waongozaji video wa hapa nchini.
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment