#NEWS : SHETTA KUKALISHWA KIKAANGONI KESHO

Shetta ni mmoja ya wasanii wanaofanya pouwa katika muziki wa Bongo fleva hapa nchini, toka Nimechokwa, mdananda, nidanganye na kerewa.

Je, unapenda kumjua zaidi msanii huyu? Maisha yake kwa ujumla, kazi zake na mafanikio aliyopata hadi sasa. Basi kutana naye Kikaangoni Live hapo kesho utamuuliza swali lako naye atakujibu live.

Kumbuka ni jumatano ya kesho kuanzia saa 6 – 8 mchana katika ukurasa wa EATV katika mtandao wa kijamii wa Facebook, ambapo atakua anachat na mashabiki wake kwa kuulizwa maswali na  naye atajibu live.


Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment