#NEWS : "Chris Brown uniomba msamaha ndotoni," adai Karrueche Tran

Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa RnB, Chris BrownKarrueche Tran, amedai kwamba muda mwingi anamuota msanii huyu akiwa anaomba radhi.
Akizungumza na Hollywoodlife.com, Karrueche alisema: “Nimekuwa nikimuota mara kwa mara, lakini haimaanishi kama kuna mpango wowote wa kurudiana, kwa upande wangu sina mpango huo hata kama akija kuniomba radhi. Katika ndoto zangu ninamuona akiwa ananiomba radhi na mimi nakataa, kwa sasa naweza kuwasiliana naye kawaida,” alisema Karrueche.

Hata hivyo, baada ya wawili hao kuachana, Karrueche alisema kwamba bado anampenda msanii huyo na kama akijisikia kurudi kwake atampokea.
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment