#NEWS : P-Square Warushiana vijembe Instagram.. huu ndio mwisho wao?

Baada ya Peter Okoye kuandika mfululizo wa tweets kueleza kuwa biashara ya familia ni ngumu, kaka yake na pacha wakePaul Okoye ametumia Instagram kueleza kusikitishwa na kitendo hicho
Awali Peter alidai kuwa wamesimama kufanya kazi na kaka yao, Jude Okoye anayeamini amegeuka kuwa kikwazo kwao.
 meneja ambae pia ni kaka wa mapacha hao Jude Okoye.

Akipost picha aliyoikata kumuondoa Peter na kubaki na kaka yake JudePaul ameandika "This is where I belong and this is where I stand…….you do music in the studio, not on social media, you have family issues, you discuss that in close doors, not on social media ….. Family is family, blood is blood …. If you don’t do family business, then who am I to you?"

Peter hakukaa kimya, amejibu kwa kuandika "And cutting me off from a picture and replacing me with a studio set says it all my bro. All because you want to sound matured And letting the pple insult and Laff at me. Peter Okoye the social media rant. I wish you well in all you do my bro. God bless our hustle . #voice4thevoiceless.

Hii si mara ya kwanza kundi hili la Nigeria limeingia kwenye migogoro ya familia. Mwaka na kitu uliopita, Paul na ndugu wengine walidaiwa kutokuwa na maelewano mazuri na mke wa Peter. 
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment