Cover ni njia nzuri ya msanii kuonesha uwezo wake. Na huenda Heri Muziki akawa ameshaanza kuvuna matunda ya kufanya hivyo. Muimbaji huyo wa Cheche ameamua kufanya cover ya wimbo wa Yemi Alade, Na Gode alioimba kwa Kiswahili na sikio la muimbaji huyo wa Nigeria limekunwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment