Meneja wa msanii wa bongo flava Diamond Platnumz, Sallam a.k.a Jorge Mendez wakati anahojiwa kwenye #FridayNiteLive ya EATV alisema kuwa yeye sio Tour Manager wa Diamond Platnumz ila ni International Manager wake.
Sallam alitoa tofauti na kusema “International manager anahusika haswa na mambo ya kimataifa ya msanii na tour meneja anaweza kuwa mtu yoyote waliomchagua mwenye ufahamu na mambo ya ziara na kazi zake,nje au ndani ya Tanzania“.
Sallam pia kwa sasa ni meneja wa Ay, Mwana Fa na Salama Jabir.
0 comments:
Post a Comment