Msanii Qboy Msafi kutoka WCB ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Mugacherere”, amewashirikisha Rayvanny na Shetta. Video Imefanyika Johannesburg, South Africa na imeongozwa na Nicorux.
Subscribe to:
Post Comments
                            (
                            Atom
                            )
                          

0 comments:
Post a Comment