#VIDEO: Timbulo Feat Baraka The Prince - Usisahau (Official Video)

Msanii Timbulo ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Usisahau’ aliomnshirikisha Barakah The Prince na imeongozwa na director Eddie kutoka Kenya, ni moja kati ya nyimbo kali zilizotoka kutoka kwa mwaka huu. Tazama hapa chini video hiyo.
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment