#VIDEO: Wildad - Get it on

Msanii huyo wa RnB amekuja kuteka mioyo ya kina dada kwa muonekano na sauti yake nyororo. Ameleta ladha mpya ya RnB na kipaji chake cha kipekee kinaweza kumvutia mdada yeyote kwake. Wanangu wafungieni mademu zenu ndani! Ngoma yake na video inaashiria fika kuwa kuna matarajio makubwa kwa yeye kufikisha RnB ya Tanzania kwenye matawi ya juu.
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment