MAngekimabi

Chadema wakatazeni mawakala wenu kutia saini matokeo. CCM wameanza kuwaruhusu kuingia ndani na zile zile barua walizodai mwanzo ni feki hii ni baada ya 4 hours ya kuwaacha nje wao washaingiza kura zao. Mawakala wenu wakitia saini basi hakuna kesi... Pls pls pls mawakala wenu wasitie saini Hayo matokeo.... kwanza sijui hata kwanini wanakubali kuingia ndani baada ya masaa 4. So bora waondoke tu???Pls chadema tumieni akili hapa, mawakala wasitie saini waambieni waondoke kabisaaaaaaa wasirudi ndani sasa hivi!Its too late. Walikuwa na maana yao kuwaondoa kwa masaa yote hayo.... . . Da mange hii ndio barua yangu, mawakala wa chadema 2mezuiriwa kuingia ndan kwenye vyumba vyakupgia kura kwa madai barua zinazo tutambulisha wao hawazifaham nailihali zinamuuli kutoka kwa msimamiz msaidiz kata ya makumbusho. . . UPDATE Dada sasa tumeruhusiwa kuingia baada ya masaa Manne.
A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment