#NEWS: Birdman azungumzia ishu ya Drake na Tyga


Birdman amekaa chini hivi karibuni na kuzungumzia beef ya wasanii wake Drake na Tyga inayopelekea wasanii hawa kutofanya kazi pamoja na kuchukiana. Birdman pia amezungumzia Tyga kuhama lebel.

"Naongea na kubadilishana message na Drake kila siku ila mpaka sasa sijaongea naye kuhusu hili swala".
"Huwezi kumfananisha Drake na Tyga, Drake ni Drake, namba hazidanganyi, jamaa anauza sana album, hakuna msanii anayefanya anachofanya ikija kwenye swala la kutengeneza muziki bora"
"Kama Tyga amemdiss Drake kwenye Wimbo wake wa 'Make It Work' ni kawaida kwani Drake anaweza mfanya msanii yeyote amwandikie wimbo"
"Tyga bado yupo YMCMB Ila sipendi matusi na kejeli zake atabidi afanya maamuzi kama anabaki au anatoka".
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment