#NEWS: Ciara asema alimfumania Future akichepuka na msanii mwingine

Future na Ciara hawapo tena pamoja baada Ciara, sababu ya kutengana kwao ni baada ya Ciara kumfumania Future na mwanamuziki wa R & B aitwaye Tinashe.

kutokana na taarifa ya Ciara anasema aliona ukaribu wa Future ambae ni baba wa mtoto wake wenye mashaka na Tinashe kwa muda mrefu hivyo akaanza kufatila kwa ukaribu kwani mwanzo alidhani ni ukaribu wa kikazi tuu... ila kadri siku ziendavyo ukaribu wao ukawa ni zaidi ya analivyokua anadhani yeye..
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment