#NEWS : Usher Raymond amsifia Mpenzi Wake Hadharani

Mapenzi Ni Kitu Ambacho Kina Nguvu Sana Katika Dunia Mwanamuziki Usher Raymond Ameamua Kuweka Siri Zote   Hadharani Licha Ya Kuwa MpenziWake Huyo Amemzidi Umri.


  Lakini Amemsifia Kwa Kusema Ni Mwanamke Mwenye Mapenzi Ya Kweli Pia Ni Mshauri Wake Mkubwa  Sababu Amechukuwa Nafasi Kubwa Katika Maisha Yake.
 Ni Mwanamke Mwenye Kujituma Na Mwenye Ubinadamu Pasipo Kujali Umaarufu Wa Usher  "nampenda Sifikirii Kuachana Nae  Ni Mwanamke Ambae Anajitambua".


 Mpenzi Wake Anaitwa Grace Miguel Na Ndio Meneja Wake Ambae Anasimamia Kazi Zake Zote Za Muziki Na Mambo Yake Mengine

Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment