#NEWS : KALA JEREMIAH kuzindua Video pamoja na Audio ya “USIKATE TAMAA” Jumapili hii.

Msanii wa Hip Hop nchini Kala Jeremiah akishirikiana na msanii mkongwe wa R&B anajulikana kwa jina la Nuruwell wanatarajiwa kuzindua rasmi wimbo wao unaoitwa "USIKATE TAMAA" siku ya Jumapili tarehe 23 mwezi huu wa 11 pale New Maisha Club ya hapa Dar. Kala anasema watu watakaofika siku hiyo ndio watakuwa watu wa kwanza kusikiliza wimbo huo na kuona video ya wimbo huo, uzinduzi huo utasindikizwa na wasanii wakali kama BEN POL, STAMINA, MO MUSIC, NEY LEE pamoja na NURUWELL.....
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment