#NEWS : Peter Okoye kaanzisha record label yake, kaanza kwa kuMsign Msanii Mmoja

Peter Okoye wa P-Square ameanzishaa mwenyewe studio yake aitwaye P-Classic Record, ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni yake P-Classic Group. Peter tayari ameshamSign msanii wa kwanza na kuanza kua msimamizi wake,ambaye pia ni binamu yake aneitwa  Malcolm Obinna Clint Onyeyiri, aka Malcoholic Obinna

Alipost picha za msanii wake huyo wa kwanza katika lebel  kwani msanii huyo anamuonekano wa kuvutia.

hapa ni baadhi ya picha alizokua anamtambulisha kwenye account yake ya Instagram 






Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment