#NEWS : Kendrick Lamar anayakua tuzo tano za Grammy kati ya kumi na moja alizokuwa akiwania

Kendrick Lamar ameondoka kifua mbele zaidi kwa kushinda tuzo za tano za Grammy. Tuzo hizo ni pamoja na ile ya Best Rap Album kwa santuri yake ya To Pimp A Butterfly.
Tuzo zingine alizoshinda ni pamoja na Best Music Video “Bad Blood” akiwa na Taylor Swift na ameshinda tuzo zote za rap zikiwemo Best Rap Performance na Best Rap Song kwa wimbo wake “Alright” na na Best Rap/Sung Collaboration kwa wimbo wake “These Walls.”
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment