Mwanamuziki wa Bongo fleva Rama Dee ambaye amekuwa nje ya nchi kwa kipindi flani lakini amekuwa akiachilia ngoma kadhaa zinazofanya poa hapa Bongo ikiwemo 'Kuwa na subira' aliyo washirikisha Mapacha pia ikiwepo 'Kama huwezi' aliyofanya na Lady Jay Dee ambazo zilifany apoa kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio amekataa kujiona kama mfalme wa Rn'B hapa Bongo nakusema hakuna umuhimu wa kuwa mfalme zaidi ya kufanya kazi nzuri.
Mwanamuziki Rama Dee pia amekanusha kuwepo kwa beef katiyake na Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu nakusema yeye na muheshimiwa hawana beef yoyote na hata jana walikuwa pamoja.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment