Zikawepo fununu za rapper huyo kuwa anatoka kimapenzi na mmoja wa video vixen anaye onekana kwenye video hiyo na kama aonekanavyo kwenye picha hapo juu.
Darassa alipokutana na eNewz aliulizwa swali la kuwa kwenye mahusiano na kuamua kufanya kazi pamoja na msichana huyo ambaye ni mpenzi wake lakini alikataa. Darassa aliiambia eNewz kuwa anaishi pekeyake na anampenzi ila sio huyo "Mimi nina mpenzi wangu ila nyumbani naishi mwenyewe, msichana huyo kwenye video yupo kwaajili ya kufanya kazi tu na sina mahusiano naye" Aliiambia eNewz.
0 comments:
Post a Comment