#NEWSMASHARIKI: Juliani kujenga kituo cha sanaa Dandora

Mkali wa michano wa nchini Kenya, Juliani ameendelea na moyo wake wa kusaidia jamii ambapo safari hii ameamua kuwajengea vijana kituo cha sanaa huko Dandora.


Juliani
Juliani amesema kuwa, kazi kubwa ya kituo hiki itakuwa ni kuendeleza sanaa kuwa fani yenye kulipa kwa vijana hawa, ambapo pia kituo kitakuwa na studio pamoja na kituo cha redio.
Msanii huyu ameweka wazi kuwa, lengo lake kubwa ni kuona vijana wengi wasiokuwa na ajira wanapata kazi za kufanya na maendeleo, hivyo kuepuka wimbi la uhalifu
Share on Google Plus

About IF YOU DON'T KNOW NOW YOU KNOW

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment