Ameyaongea hayo usiku wa kuamkia leo alipokuwepo ndani ya Friday Night Live show inayorushwa na EATV na EA Radiokila ijumaa saa tatu usiku kuwa, nje ukishoot video ni rahisi kwa kupata material na location kiurahisi japokuwa unatumia pesa nyingi.
Amefafanua kuwa mfano nchini Afrika Kusini uki shoot video ukiwa unahitaji gari la polisi basi kweli utapata gari la polisi, Lakini kwa nchini ni vigumu. Pia amempongeza director Hanscana kwakujiongeza na kuonyesha uaandaaji wa studi yake kwaajili ya kutengeneza video.
0 comments:
Post a Comment